MGOGORO ULIOKUWA UKIFUKUTA SIMBA WAMALIZWA KIBABE NA TRY AGAIN

Baada ya kutofautiana kimawazo na kufikia hatau ya baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurungenzi Simba SC kususia vikao, imeripotiwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo Salim Abdallah ‘Try Again’ amemaliza tofauti zilizokuwa zikiwatafuna ndani kwa ndani.Kassim Dewji ambaye alitangazwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili baada ya kufariki kwa Zacharia Hanspope, alikua wa kwanza kutoka